JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia Ziarani Mkoani Manyara

Rais Samia akiwa ziarani mkoani Manyara kwa siku ya pili leo ametembelea na kukagua mirandi mbalimbali ya kimaendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo

Tanzania kuzidi kunufaika na miradi ya WIPO

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa Jijini Geneva Uswisi, Mhe. Balozi Maimuna Tarishi amesema kuwa Tanzania inaendelea kunufaika na miradi mingi ambayo hutolewa na Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO). Kauli hiyo aliitoa…

Ronaldo afungasha vilago Manchester United

Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo ameondoka katika klabu hiyo kwa mara ya pili baada ya mkataba wake kuvunjwa na kutekelezwa mara moja kwa ‘makubaliano ya pande zote’. Hiyo inakuja siku chache baada ya mahojiano yaliyoonekana kuwa ya kichochezi ambayo…

Mwakibete mgeni rasmi uzinduzi TTMOA

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia  Naibu Waziri wa ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete, anatarijiwa kuwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Chama Cha Wamiliki wa Matipa na Mitambo Tanzania ( TTMOA) Novemba 25 mwaka huu  Jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na  Mwenyekiti…

Tume ya utumishi ya Mahakama yakutana na kamati za maadili Shinyanga

Tume ya Utumishi ya Mahakama imekutana na wajumbe wa kamati za maadili ngazi ya Mkoa na wilaya mkoani Shinyanga, kujadili maadili na utoaji haki kwa wananchi. Mkutano huo umefanyika leo Novemba 22, 2022 katika ukumbi wa mikutano Mahakama kuu ya…

Kasi ndogo ujenzi wa madarasa yamchefua Kairuki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki ameonesha kukerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa madarasa katika Mkoa wa Tabora. Kairuki amekutana na kadhia hiyo leo wakati wa…