Category: Kimataifa
Zelensky: Putin hana nia ya kusitisha mapigano
Kauli ya Rais Volodymyr Zelensky kwamba Rais Vladimir Putin hana nia ya kushiriki katika mazungumzo ya kusitisha mapigano amekuwa akiirudia mara kwa mara tangu kuanza kwa vita vya Ukraine mwaka 2022. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema haoni dalili yoyote…
Israel yamuua Waziri Mkuu wa Houthi Yemen
Waziri Mkuu wa Serikali ya Houthi nchini Yemen, Ahmed al-Rahawi, ameuwawa kwa shambulio la anga la Israel tarehe 28 Agosti 2025. Shambulio hilo lililenga mkutano wa viongozi waandamizi mjini Sanaa na kuua pia mawaziri kadhaa. Houthi wamethibitisha kifo hicho na…
Viongozi 20 wa dunia wakutana China
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wako miongoni mwa viongozi 20 wa dunia wanaohudhuria kilele cha usalama wa kikanda nchini China. Kabla ya mkutano wa kila mwaka wa Shirika la Ushirikiano wa Shanghai (SCO)…
Urusi yaishambulia Ukraine kwa zaidi ya droni 100
Jeshi la anga la Ukraine limesema, vikosi vya Urusi viliishambulia nchi hiyo usiku kucha huku milio ya mabomu ikisikika pia katika maeneo mengine ya nchi. Zaidi ya droni 100 zilionekana zikiruka sehemu tofauti za nchi, huku jeshi la anga likijaribu…
Boniface Mwangi atangaza kuwania urais Kenya mwaka 2027
Boniface Mwangi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais wa Kenya mwaka 2027, akielezea azma ya kuleta “mwanzo ppya” kwa taifa hilo. Mwangi alionekana kuwa sauti ya vijana dhidi ya Mswada wa Fedha wa mwaka 2024. Mkosoaji mkuu wa serikali…
Mashambulizi makubwa ya Urusi yaua 10 Ukraine
Ukraine imesema Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya droni usiku wa kuamkia leo dhidi ya Ukraine na kuua watu 10. Wengine 38 wamejeruhiwa, majengo kadhaa yakiwemo makaazi ya watu pia yameharibiwa ikiwemo katika mji mkuu Kiev. Maafisa wa Ukraine wamesema hayo…