JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais wa Nigeria

Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu ameapishwa leo kuwa kiongozi wa taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika linalokabiliwa na changamoto nyingi. Anaingia rasmi madarakani huku raia wakiwa na matumaini mapya ya maisha bora na masuala mengine…

Spika Dkt. Tulia atoa wito kwa nchi za SADC kuendeleza ushirikiano

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zishirikiane kutumia rasilimali zilizopo kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jumuiya hiyo. Dkt. Tulia ameyasema hayo wakati…

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, ashindwa rufa yake

Mahakama ya Rufaa nchini Ufaransa, imeshikilia kifungo cha miaka mitatu jela, dhidi ya rais wa zamani Nicolas Sarkozy kwa kosa la ufisadi na kushawishi kupewa taarifa kuhusu uchunguzi dhidi yake.  Katika uamuzi wa mahakama hiyo ya rufa jijini Paris, kiongozi…

Kalinaki, Balile wachaguliwa kuongoza wahariri Afrika Mashariki

Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki imemchagua Daniel Kalinaki wa Jukwaa la Wahariri Uganda kuwa Rais wa Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki kuanzia Mei 12, 2023, ambapo ataongoza kwa mwaka mmoja. Deodatus Balile, ambaye ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania…

Aua watu 8 kwa risasi Marekani, naye auawa

“Tulianza kukimbia, watoto walikuwa wakikanyagwa”. Anaeleza Maxwell Gum (16),mfanyakazi wa stendi karibu na eneo ambalo mauaji ya risasi ya watu nane katika jiji la Texas Marekani . Yeye na wengine walijihifadhi kwenye chumba cha kuhifadhia vitu. Mauaji haya yametekelezwa na…