JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Waziri wa Mambo ya Nje Norway awasili nchini kwa ziara

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway anayeshughulikia masuala ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na nchi za Nordic,Anne Beathe Tvinnereim amewasili nchini leo kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 6 – 8 Septemba 2022 na kupokelewa…

Waziri Mkenda afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Venezuela

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda jana tarehe 5 Septemba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Venezuela Mhe Yuri Pimentel anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa kituo cha Kimataifa…

Makamba ashiriki mkutano wa dunia wa mabadiliko ya tabia nchi

Waziri wa Nishati,January Makamba amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutano wa Viongozi wa Dunia unaojadili Program ya Afrika ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Africa Adaptation Summit) unaofanyika Rotterdam, Uholanzi tarehe 5/9/2022. Mkutano…