Category: Kimataifa
Krisimasi Ilikuwa Chungu kwa Waasi ADF, Wachapwa Kutokea Uganda
Jeshi la Wananchi la Uganda (UPDF) limewashambulia waasi wa kikundi cha Allied Democratic Forces (ADF) cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). ADF wanahusishwa na shambulizi la Desemba 7, mwaka huu lililofanyika kwenye kambi ya askari hao ya Simulike, Mashariki…
Hali ni Tete Sudan Kusini
Tangu serikali ya Sudan Kusini kuikamata kambi ya waasi Kusini Magharibi mwa nchi hiyo wiki iliyopita, mamia ya wakimbizi wameendelea kukimbilia nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Miongoni mwao huenda wamo waasi, na jeshi la Kongo ambalo linahofia…
Wabunge Walaani Kuchomwa kwa Nyumba ya Kabila
Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu walilaani kitendo cha kuchomwa kwa nyumba ya rais Joseph Kabila. Katika taarifa ya pamoja, wabunge hao walikiita kitendo hicho kuwa cha kinyama na kutoa wito kwa raia kuotojihusisha na vitendo ambavyo vingechangia…
BALOZI WA VENEZUELA ATIMULIWA CANADA
Canada imetangaza kumfukuza balozi wa Venezuela Wilmer Barrientos Fernández Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Chrystia Freeland alisema hatua hiyo ni jibu kwa kufukuzwa kwa mwanadiplomasia wake wa cheo cha juu kutoka Venezuela mwishoni mwa wiki. Venezuela iliilaumu Canada…
AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Apata Ajali ya Gari
AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa. Yeye bado na watoto wawili bado wako hospital ya Wilaya Kiomboi ambapo mtoto…
Catalonia Yashinda Uchaguzi ya Kutaka Kujitoa na Uhispania
Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia. Ikiwa kura zote zinakaribia kukamillika kuhesabiwa Katika rekodi ya wapiga idadi ya wapiga kura ambao wamejitokeza vyama hivyo vinaonekana kushinda jambo kimepunguza kidogo idadi ya…