JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Rais Samia akizungumza na wawekezaji, wadau wa maendeleo na baadhi ya viongozi wakuu wa Nchi za Afrika nchini Uswizi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA)uliofanyika Davos nchini Uswizi…

Binadamu mkongwe zaidi afariki dunia

Binadamu mzee zaidi aliyekuwa anashikilia rekodi ya Guinness amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 118. Sista André aliyezaliwa Februari 11, 1904 na kupewa jina la Lucile Randon  amekutwa amefariki katika makazi yake yaliyoko  mjini Taulon Ufaransa, Reuters imeripoti Msemaji…

Mawaziri wauawa katika ajali ya helikopta Ukraine

Watu 18 wameuawa akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ukraine katika ajali ya helikopta iliyotokea nje ya Mji Mkuu wa Kyiv leo. Taarifa ya Mkuu wa Polisi Ukraine, Ihor Klymenko imesema kati ya watu hao waliopoteza maisha wawili ni…

China:Tutaimarisha ushirikiano na Urusi 2023

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesisitiza msimamo wa nchi yake ya kutofungamana na upande katika vita vya Ukraine na kwamba taifa hilo litaimarisha uhusiano na Urusi katika mwaka ujao 2023. Wang amesema China itazingatia kuzingatia ya…

Mtoto atolewa vyuma 52 tumboni,wazazi watahadharishwa

Mama wa mtoto mwenye umri wa miaka mitano ambaye alinusurika kifo baada ya kumeza vyuma 52 kutoka kwenye kifaa cha kuchezea amewatahadharisha wazazi kutambua hatari iliyomkumba mtoto. Daktari alilazimika kupasua tumbo la mtoto Jude sehemu tano ili kuondoa vyuma vilivyokua…