JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Wanne wafariki Kenya ‘wakiwa wamefunga kukutana na Yesu’

Watu wanne walipatikana Alhamisi wakiwa wamefariki na wengine zaidi ya kumi wamelazwa hospitalini katika kaunti ya pwani ya Kilifi nchini Kenya, baada ya kuokolewa wakisubiri ‘mwisho wa dunia unaokaribia’. Polisi walisema kundi hilo lilipatikana katika msitu walimokuwa wakiishi kwa siku…

Watu 72 wafa maji Ufilipino kipindi cha Pasaka

Watu 72 wamekufa kwa kuzama kwenye maji tangu mwanzo mwa mwezi huu, huku rekodi ikionesha vifo vingi zaidi vimetokea katika kipindi hiki cha mapumnziko ya siku za Sikukuu ya Pasaka. Kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Polisi la Ufilipino,…

Marekani yaitaka China ijizuie wakati wa mazoezi yake ya kijeshi Taiwan

China imefanya mazoezi ya kijeshi ya majini kwa siku ya pili kuzunguka Taiwan, huku hali ya wasiwasi ikiendelea kuongezeka baada ya ziara ya Rais Tsai Ing-wen nchini Marekani wiki iliyopita. Mazoezi hayo ambayo Beijing imeyaita “onyo kali” kwa Taipei –…

Waliokufa na vimbunga Marekani wafikia 26

Takriban watu 26 wamekufa baada ya mfululizo wa vimbunga kuteketeza miji na majiji ya Kusini na Kati mwa Marekani. Nyumba ziliharibiwa na maelfu kuachwa bila umeme baada ya dhoruba kubwa kusababisha uharibifu katika majimbo kadhaa. Kumekuwa na zaidi ya vimbunga…

Makamu wa Rais Sudan Kusini akataa uteuzi

Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar, ambaye pia ni kiongozi wa chama cha upinzani cha SPLM-IO, amekataa uteuzi wa Jenerali Chol Thon Balok kuwa waziri mpya wa ulinzi. Jenerali huyo anatoka chama cha Rais Salva Kiir na anachukua…

Watu 35 wafariki baada ya kutumbukia kwenye kisima India

Takriban watu 35 wamefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima walipokuwa wakisali katika hekalu moja katika jimbo la kati la India la Madhya Pradesh. Wengine 14 wameokolewa na mtu mmoja bado hajapatikana katika ajali hiyo iliyotokea katika mji wa Indore. Polisi…