JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Nigeria yafikia 151

Zoezi kubwa la uokoaji linaendelea nchini Nigeria kuwatafuta watu kwenye maeneo yaliyokumbwa na mafuriko ya kutisha ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya watu 151. Hayo yameelezwa na Rais wa nchi hiyo Bola Tinubu ambaye pia ametahadharisha kuwa idadi ya vifo…

Mama mzazi aliyemuuza binti yake kwa mganga afungwa maisha

Mwanamke wa Afrika Kusini aliyepatikana na hatia ya kumteka nyara na kumsafirisha bintiye mwenye umri wa miaka sita amehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na wenzake wake wawili. Racquel ‘Kelly’ Smith (35), mpenzi wake Jacquen Appollis na rafiki yao Steveno…

Mahakama ya Marekani yasitisha ushuru wa Trump

Mahakama ya shirikisho nchini Marekani imesitisha ushuru mkubwa uliowekwa na Rais Donald Trump hatua ambayo ni pigo kubwa kwa sehemu muhimu ya sera zake za kiuchumi. Mahakama ya Kimataifa ya Biashara iliamua kwamba sheria ya dharura, ambayo Ikulu ya White…

Daktari Ufaransa aenda jela miaka 20 kwa kuwabaka wagonjwa 229

Mahakama ya Ufaransa imetoa kifungo cha juu cha miaka 20 jela kwa daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri kuwadhulumu kingono mamia ya wagonjwa, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya miongo miwili. Kesi hiyo iliyodumu kwa miezi mitatu ya Joel…

Trump ‘ampa wiki mbili’ Putin

Rais wa Marekani Donald Trump ameonekana kumuwekea Vladimir Putin makataa ya wiki mbili, akitishia kuchukua mkondo tofauti ikiwa mwenzake wa Urusi bado ataendelea kumrejesha nyuma kwa vitendo vyake. Wakati Urusi ikizidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, Trump aliulizwa katika Ikulu…

Ziara ya ghafla ya Kabila Goma ilivyotikisa siasa za DRC

Ziara ya ghafla ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila, katika mji wa Goma ulioko mashariki mwa nchi hiyo, imezua taharuki na mjadala mkali wa kisiasa nchini humo, huku serikali ikiitaja kuwa ni “usaliti wa…