Category: Kimataifa
Zelenskiy agomea mazungumzo baada ya Putin kutotokea
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amegomea mazumgumzo ya amani yaliopangwa nchini Uturuki baada ya Rais wa Urusi Vladmir Putin kutojitokeza na badala yake viongozi hao wamewakilishwa na maafisa wa chini. Ametangaza kuwa hatashiriki mazungumzo ya amani yanayotarajiwa kufanyika leo mjini…
Rwanda: Kituo cha tiba ya bangi Rwanda mbioni kukamilika
Mradi wa Rwanda wa zao la bangi kwa ajili ya matibabu ya thamani ya Juu (HVTC) unapiga hatua kubwa, huku mradi wa miundombinu ya matibabu ya zao hilo ukiwa umekamilika kwa asilimia 83, kulingana na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda…
Haya ndio majina maarufu zaidi waliyopewa watoto wa 2024
Unaweza kutambua majina bora 20 ya watoto maarufu zaidi ya 2024 ?… huenda karibu yote umewahi kuyasikia Liam na Olivia walikuwa majina maarufu zaidi ya watoto mnamo 2024, nafasi ambayo majina yote yameshikilia tangu 2019, kulingana na taasisi ya Utawala…
Marekani, Iran kufikia makubaliano ya nyuklia
Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa Iran “imekubali” masharti ya mkataba wa nyuklia na Marekani. Trump alielezea mazungumzo ya hivi punde kati ya nchi hizo mbili, ambayo yalimalizika Jumapili, kama “mazungumzo mazito” ya “amani ya muda mrefu”. Hapo awali,…
Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62
Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62, huku mashirika yakionya kuhusu njaa ashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62, ulinzi wa raia unasema,. Mashirika mashirika ya kibinadamu pia yanaonya kuhusu njaa kutokana na ukosefu wa chakula…
Trump: Naweza kwenda Uturuki ikiwa Putin ataenda
Donald Trump ambaye amesema kwamba anajitolea kwenda nchini Uturuki kwa mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine ikiwa mwenzake wa Urusi Vladimir Putin pia atajitokeza. Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anaendelea na ziara yake ya siku nne huko Mashariki ya…





