Category: Kimataifa
Israel yashambulia miundombinu ya waasi wa Houthi
Israel imesema imefanya mashambulizi ya kulipa kisasi dhidi ya waasi wa Houthi wa nchini Yemen kwa kuyalenga maeneo kadhaa yenye mafungamano na waasi hao. Hayo yamejiri siku moja baada ya kundi hilo kufyetua kombora la masafa lililoanguka karibu na uwanja…
Gari la Papa Francis lageuzwa zahanati ya kuwatibu watoto wa Gaza
Moja ya magari yaliyotumiwa na Papa Francis kusalimia maelfu ya watu litageuzwa kuwa zahanati inayotembea ili kusaidia watoto wa Gaza. Shirika la hisani la Caritas linalosimamia mradi huo, lilisema gari hilo lililotumika wakati wa ziara ya marehemu Papa mjini Bethlehem…
Waziri Mkuu wa Romania ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Romania Marcel Ciolacu amejiuzulu jana jioni, siku moja baada ya mwanasiasa wa upinzani wa mrengo mkali wa kulia kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa marudio wa rais. Ciolacu alisema chama chake cha Social Democrats kinajiondoa kutoka…
Urusi, Ukraine zashambuliana licha ya juhudi za upatanishi
MAKUBALIANO kati ya Urusi na Ukraine yameendelea kushuhudiwa kutwa nzima jana Jumatatu na usiku wa kuamkia leo huku kila upande ukionesha ubavu kwa kushambulia ndani ya ardhi ya mwingine. Urusi iliishambulia mikoa miwili ya mashariki mwa Ukraine ikiwemo Sumy na…
Pakistan yafanya jaribio la pili la kombora la masafa marefu
Pakistan imefanya jaribio la pili la kombora la masafa marefu huku Iran ikimtuma waziri wake wa mambo ya nje kujaribu kuyapatanisha mataifa hayo mawili yenye silaha za nyuklia. Taarifa ya Pakistan iliyotolewa hivi leo imeeleza kuwa jeshi la nchi hiyo…
Netanyahu aapa kulipa kisasi baada ya kombora la Houthi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kulipiza kisasi dhidi ya Wahouthi baada ya kombora lililorushwa na kundi hilo kupiga uwanja wa ndege wa Israel. Katika video iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii, Netanyahu alitishia kufanya shambulio akisema: “Tulishambulia siku za…





