JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Macron : Makubaliano ya amani Ukraine lazima yawe na dhamana ya usalama

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema kuwa makubaliano yoyote ya amani kuhusu vita nchini Ukraine lazima yawe na dhamana ya usalama. Kauli hiyo alitoa alipokutana na Rais wa Marekani, Donald Trump, katika Ikulu ya White House kwa mazungumzo kuhusu mgogoro…

Papa Francis bado yuko hali mbaya kiafya

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis yuko katika hali mbaya ya kiafya baada ya vipimo vya damu kuonyesha dalili za mapema za kushindwa kwa figo. Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis yuko katika hali mbaya ya kiafya baada…

Trump tishio jipya Ukraine

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesisitiza umuhimu wa msaada wa Marekani katika juhudi za kurejesha amani nchini mwake. Katika hotuba yake, aliomba usaidizi wa dhati wa Washington kuhakikisha kumalizika kwa vita vinavyoendelea. Wakati huohuo, Rais wa Marekani, Donald Trump, amemkosoa…

Kash Patel achaguliwa kuwa mkuu wa FBI

Juhudi za utawala wa Rais Donald Trump katika kuimarisha usalama wa taifa na idara za usalama zimepiga hatua muhimu baada ya Seneti kupiga kura ya kuidhinisha uteuzi wa Kash Patel kuwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Marekani (FBI) na…

UN ina wasiwasi na hatua ya kusonga mbele M23

Kundi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, linasonga mbele kwenye hujuma zake katika maeneo ya kimkakati, mashariki mwa nchi hiyo, baada ya kuiteka miji miwili muhimu. Umoja wa Mataifa umetowa tahadhari hiyo jana Jumatano, ukionesha msisitizo wa kitisho cha…

Rais Donald Trump amuita Zelensky dikteta

Rais wa Marekani Donald Trump amemuita Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine dikteta anayekataa kuitisha uchaguzi na kumuonya kwamba anabidi kuchukua hatua za haraka kutafuta amani au kupoteza nchi yake. “Amekataa kufanya uchaguzi, hana umaarufu katika kura za maoni ya Waukraine…