Category: Kimataifa
Viongozi 20 wa dunia wakutana China
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wako miongoni mwa viongozi 20 wa dunia wanaohudhuria kilele cha usalama wa kikanda nchini China. Kabla ya mkutano wa kila mwaka wa Shirika la Ushirikiano wa Shanghai (SCO)…
Urusi yaishambulia Ukraine kwa zaidi ya droni 100
Jeshi la anga la Ukraine limesema, vikosi vya Urusi viliishambulia nchi hiyo usiku kucha huku milio ya mabomu ikisikika pia katika maeneo mengine ya nchi. Zaidi ya droni 100 zilionekana zikiruka sehemu tofauti za nchi, huku jeshi la anga likijaribu…
Boniface Mwangi atangaza kuwania urais Kenya mwaka 2027
Boniface Mwangi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais wa Kenya mwaka 2027, akielezea azma ya kuleta “mwanzo ppya” kwa taifa hilo. Mwangi alionekana kuwa sauti ya vijana dhidi ya Mswada wa Fedha wa mwaka 2024. Mkosoaji mkuu wa serikali…
Mashambulizi makubwa ya Urusi yaua 10 Ukraine
Ukraine imesema Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya droni usiku wa kuamkia leo dhidi ya Ukraine na kuua watu 10. Wengine 38 wamejeruhiwa, majengo kadhaa yakiwemo makaazi ya watu pia yameharibiwa ikiwemo katika mji mkuu Kiev. Maafisa wa Ukraine wamesema hayo…
Rwanda na Msumbiji zatia saini makubaliano ya usalama
Wakati wa ziara rasmi ya Rais Daniel Chapo mjini Kigali, mataifa hayo mawili yamefikia makubaliano ya amani na usalama ambayo yanatazamiwa kuimarisha ushirikiano wao katika kukabiliana na changamoto za kiusalama. Rwanda na Msumbiji zimetia saini makubaliano ya “amani na usalama”…
Marekani yamfuta kazi Mkurugenzi wa Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa
Ikulu ya Marekani imemfuta kazi Mkurugenzi wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC), Dkt. Susan Monarez, baada ya kukataa kujiuzulu siku ya Jumatano. Kupitia taarifa rasmi, Ikulu ilieleza kuwa Dkt. Monarez “hailingani na ajenda ya rais,” na kwa sababu…