Category: Kimataifa
Japan kupeleka makombora kwenye kisiwa karibu na Taiwan
Waziri wa ulinzi wa Japani amesema anapanga kupeleka makombora kwenye kisiwa chake cha magharibi karibu na Taiwan ifikapo Machi 2031, huku mvutano wa kikanda ukiendelea. Ni mara ya kwanza kwa Japani kubainisha ratiba ya kupelekwa kwa kombora katika kisiwa cha…
Trump : Marekani sasa ni imara zaidi kuliko awali
RAIS wa Marekani Donald Trump ametoa hotuba kuhusu hali ya taifa mbele ya Bunge la Marekani katika kipindi ambacho taifa hilo linakabiliwa na changamoto za kisiasa ikiwemo mvutano unaoendelea na Iran. Hotuba hiyo imepewa uzito mkubwa na vyombo vya habari…
EU yasimamisha kwa muda mpango wa kibiashara na Marekani
Wabunge wa Umoja wa Ulaya wameamua kuahirisha kupitishwa kwa mpango wa kibiashara kati ya umoja huo na Marekani kutokana na kutokuwa na uhakika kuhusu sera ya ushuru ya Rais Donald Trump. Hii inajiri baada ya Trump kutangaza ushuru mpya wa…
Iran na Marekani njia panda kuhusu makubaliano ya nyuklia
IRAN na Marekani zinatofautiana kuhusu njia na mikakati ya kuiondolea Tehran vikwazo ili Iran iachane na kile Marekani inachosema ni nia yake yakudhibiti silaha za nyuklia. Afisa mmoja wa Iran aliyezungumza na shirika la habari la Reuters amesema mazungumzo mapya…
Mbabe wa ulanguzi wa dawa za kulevya nchini Mexico auawa
MEXICO imethibitisha kuwa wanajeshi wamemuua mbabe wa ulanguzi wa dawa za kulevya ambaye alikuwa mmoja wa watu wanaosakwa sana nchini humo na Marekani. Nemesio Oseguera “El Mencho, alikuwa na umri wa miaka 59. Jeshi limesema Nemesio Oseguera, kiongozi mwenye umri…
Ukraine yashambulia Jamhuri ya Udmurtia nchini Urusi
Takriban watu 11 wamejeruhiwa katika shambulizi la Ukraine katika eneo la Urusi lililo na utawala wake wa ndani la Jamhuri ya Udmurtia, linalojulikana kwa sekta imara ya uundaji wa vifaa Katika chapisho kwenye mtandao wa Telegram akiwa mjini Izhevsk, waziri…





