JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Trump aongeza muda kusitisha mashambulizi kwa siku 10

Rais Donald Trump wa Marekani amesema Iran ilimwomba asitishe mashambulizi kwa siku saba kwenye biwanda vya nishati, lakini ameipa siku kumi, na Tehran “ikamshukuru sana” kwa hatua hiyo. Awali, Trump alitangaza kwenye mtandao wa Truth Social kwamba ataongeza muda wa…

Iran: Hatuna nia ya kufanya mazungumzo na Marekani

Iran imetupilia mbali mpango wa Marekani wa kusitisha vita huko Mashariki ya Kati huku ikiendeleza mashambulizi zaidi dhidi ya Israel na nchi za Ghuba. Tehran hata hivyo imesema inalipitia tena pendekezo hilo lakini Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran…

Safari za ndege Dubai zarejea

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai umerejesha huduma zake leo baada ya kufungwa kwa muda kufuatia moto uliotokea katika tanki la mafuta uliosababishwa na shambulizi la droni. Tukio la kuwaka moto kwa tanki la mafuta, ambalo halikusababisha majeruhi, ni…

Marekani yazidisha mashambulizi, Iran yaapa kutosalimu amri

Marekani imesema imeyashambulia maeneo zaidi ya 90 ya kijeshi ya Iran katika kisiwa cha Kharg, huku Iran nayo ikijibu mashambulizi hayo kwa kufyetua makombora na droni kuelekea Israel na katika nchi jirani za Ghuba. Kamandi kuu ya jeshi la Marekani…

Papa Leo ahuzunishwa na mauaji ya watoto Iran

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV (14 ) amesikitishwa na vifo vya raia wengi katika vita vya Iran. Vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran vimeingia siku yake ya 12. Papa pia ameelezea kuwa karibu na watu…

Rais Ruto atuma vikosi vya dharura kufuatia mafuriko yaliyoua watu 25 Nairobi

Rais wa Kenya William Ruto ameagiza kupelekwa mara moja kwa kikosi cha dharura kutoka taasisi mbalimbali kusaidia juhudi za uokoaji kufuatia mafuriko ya ghafla yaliyosababisha vifo kadhaa katika jiji kuu la Nairobi. Mamlaka zinasema watu 25 wamefariki dunia baada ya…