Category: Kimataifa
Ukraine yashambulia Jamhuri ya Udmurtia nchini Urusi
Takriban watu 11 wamejeruhiwa katika shambulizi la Ukraine katika eneo la Urusi lililo na utawala wake wa ndani la Jamhuri ya Udmurtia, linalojulikana kwa sekta imara ya uundaji wa vifaa Katika chapisho kwenye mtandao wa Telegram akiwa mjini Izhevsk, waziri…
Mbunge wa Tunisia afungwa miezi nane jela kwa kumdhihaki rais
Mahakama ya Tunisia imemhukumu mbunge mmoja kifungo cha miezi minane jela kutokana na kuchapisha mitandao ya kijamii akimkejeli Rais Kais Saied kufuatia mafuriko yaliyosababisha vifo vya hivi karibuni. Ahmed Saidani alikamatwa mapema mwezi huu baada ya kuchapisha kwenye mitandao ya…
Umoja wa Mataifa wataka mkataba wa amani Gaza uwe wa kudumu
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeyataka makubaliano ya kusitisha vita Gaza yawe ya kudumu. Baraza hilo vile vile limeikosoa hatua ya Israel ya kutanua udhibiti wake katika Ukingo wa Magharibi kama kitisho kwa juhudi za kupatikana kwa suluhisho…
Iran yatangaza kuufunga mlango Bahari wa Hormuz
Iran imetangaza Jumanne kufungwa kwa muda kwa Mlango Bahari wa Hormuz, kwa ajili ya kuendeleza luteka ya kijeshi yenye nia ya kuonyesha uwezo wa Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Hatua hiyo imechukuliwa huku wapatanishi wa Tehran wakiwa wamekamilisha mazungumzo yasiyo ya…
Zelenskiy : Trump ananishinikiza kupita kiasi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akimshinikiza vikali katika kujaribu kupata suluhu ya vita vya karibu miaka minne akisema ni jukumu la Kyiv kuhakikisha mazungumzo hayo yanafanikiwa. Zelensky, katika mahojiano na tovuti ya Marekani…
Zelensky: Urusi inajiandaa kufanya mashambulizi Zaidi
Taarifa zilizotolewa na idara ya ujasusi ya Ukraine zinaonyesha kuwa Urusi inajiandaa kufanya mashambulizi zaidi na kuilenga miundombinu ya nishati. Hayo yameelezwa na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na kuongeza kuwa mashambulizi yoyote yatafanya iwe vigumu kufikia makubaliano ya kukomesha…





