JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Rais wa Iran awaomba radhi majirani, akataa kusalimu amri

Rais wa Iran ameomba radhi kwa kuyashambulia mataifa ya kikanda, lakini ameendelea kuikosoa Marekani. Kauli yake imekuja wakati makombora na droni za Iran vikiendelea kuruka kuelekea Israel na mataifa ya Ghuba ya Kiarabu. Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ametupilia mbali…

Iran : Hatutojisalimisha kwa Marekani na Israel

Saa kadhaa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuitaka Iran “isalimu amri” ili kusitisha vita vinavyoendelea, Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameapa kuwa kamwe taifa lake halitajisalimisha kwa Marekani na Israel. Ameyasema hayo kupitia hotuba yake iliyorushwa na televisheni…

Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mafuriko Kenya yafikia 23

Polisi jijini Nairobi wamesema watu 23 wamefariki dunia kufikia sasa,huku uharibifu wa mali, kufungwa kwa baadhi ya barabara pamoja na wakazi wengi kulazimika kuhama makazi yao kutokana na hali hiyo. Aidha zoezi la uokoaji bado linaendelea kufuatia mvua kubwa iliyonyesha…

Israel yazishambulia Iran na Lebanon, Tehran yajibu mapigo

Ndege za kivita za Israel zimeishambulia miji ya Beirut na Tehran leo huku kukiwa hakuna dalili ya kumalizika kwa vita vinavyoelekea kutimiza wiki nzima kesho Jumamosi. Israel ilisema mapema asubuhi kuwa imefanya “mashambulizi makubwa” kwenye mji mkuu wa Iran na…

Jeshi la Kongo lakamata silaha za kijeshi Ituri

Jeshi la Jamhuri ya Kidemorkasia ya Kongo (FARDC) limetangaza kukamata shehena kubwa ya silaha zilizofichwa kwenye eneo moja la mgodi katika jimbo la Ituri mashariki mwa nchi hiyo. Msemaji wa jeshi la Kongo kwenye jimbo hilo, Jules Ngongo amesema miongoni…

Trump: Iran isalimu amri, hakuna mazungumzo

Rais Donald Trump wa Marekani amesema hakutakuwa na mazungumzo wala makubaliano na utawala wa sasa wa Iran na ameitaka nchi hiyo “isalimu amri” kama sharti kwa Washington kusitisha vita vinavyoendelea. Trump ametoa ujumbe huo kupitia mtandao wake wa kijamii ambapo…