JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

China yageukia Canada kwa uagizaji mafuta badala ya Marekani

China imegeukia uagizaji wa mafuta kutoka Canada baada ya kupunguza uagizaji wa bidhaa hiyo kutoka Marekani kwa karibu asilimia 90 huku vita vya kibiashara vikiendelea. Upanuzi wa bomba la mafuta Magharibi mwa Canada ambao ulifanyika chini ya mwaka mmoja uliopita…

WTO latabiri kuporomoka kwa biashara duniani

SHIRIKA la biashara duniani,WTO limesema biashara ya bidhaa ulimwenguni, inatarajiwa kushuka kati ya asilimia 0.2 na 1.5 mwaka huu Shirika hilo limesema utabiri huo utategemea namna ushuru uliowekwa na rais Donald Trump utakavyosababisha athari. WTO imetahadharisha kwamba hali ya wasiwasi…

‘Harvard inaweza kupoteza uwezo wa kusajili wanafunzi wa kigeni’

Wizara ya Usalama wa Ndani ya Marekani ilisema Chuo Kikuu cha Harvard kitapoteza uwezo wa kusajili wanafunzi wa kigeni ikiwa haitakubali kutimiza matakwa ya serikali ya Trump kushirikisha taarifa za baadhi ya wamiliki wa visa, kuashiria kuongezeka kwa mtafaruku kati…

Obama : Trump kuzuia ufadhili wa Harvard si ‘halali’

Rais wa zamani Barack Obama anapongeza uamuzi wa Chuo Kikuu cha Harvard kukataa matakwa ya Ikulu ya White House ya kubadili sera zake au ikose ufadhili, katika ujumbe wake wa kwanza kwenye mtandao wa kijamii kukosoa utawala wa Trump tangu…

Wabelgiji washtakiwa Kenya kwa usafirishaji wa siafu

Vijana wawili raia wa Ubelgiji wameshtakiwa jijini Nairobi baada ya kukutwa na maelfu ya siafu, katika kile ambacho Kenya inasema ni sehemu ya mbinu ya usafirishaji haramu wa spishi ndogo zaidi na zisizojulikana sana. Vijana hao, Lornoy David na Seppe…

Biden akosoa ‘uharibifu’ wa Trump wa mashirika ya kijamii

RAIS wa zamani wa Marekani Joe Biden ameikosoa vikali serikali ya Donald Trump kwa kile alichokiita “uharibifu wa haraka” wa mashirika ya kijamii akisema hatua hiyo itaathiri zaidi ya Wamarekani milioni 65. Katika hotuba yake ya kwanza kubwa tangu aondoke…