Category: Kimataifa
Baridi kali jijini New York yasababisha vifo vya watu 18
Jumla ya watu 18 wamefariki dunia kutokana na kipindi cha baridi kali jijini New York, kwa mujibu wa meya wa jiji hilo. Tangu mwishoni mwa Januari, jiji hilo limekumbwa na wimbi la baridi kali, likiwemo siku 13 mfululizo ambapo joto…
Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni na makombora
Jeshi la anga la Ukraine limesema Urusi ilikuwa imerusha makombora 11 na droni 149 ikiwa ni pamoja na ndege za kivita aina ya Shahed zilizotengenezwa nchini Iran. Maafisa nchini Ukraine wamesema leo kwamba mashambulizi ya droni na makombora ya Urusi…
Mazungumzo kuhusu amani ya Ukraine yakamilika
Ukraine na Urusi zimekamilisha duru ya pili ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani huko Abu Dhabi yanayolenga kufikisha mwisho vita kati ya nchi hizo mbili. Duru mpya ya mazungumzo inatarajiwa kufanyika hivi karibuni. Ukraine na Urusi zimehitimisha duru ya pili ya…
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa
Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa wa vita na raia baada ya siku mbili za mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Marekani huko Abu Dhabi. Jumla ya Waukraine 157 – saba kati yao wakiwa raia – na wanajeshi 157 wa…
Hofu ya vita ya Marekani na Iran yatikisa Mashariki ya Kati
Huku juhudi za kidiplomasia zikiendelea kuzuia mzozo mpana Mashariki ya Kati, Saudi Arabia, mataifa ya Ghuba na Israel zinaweka mbele maslahi yao wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kuongezeka. Katika wiki iliyopita, hali ya wasiwasi kuhusu uwezekano wa…
Urusi yaishambulia tena miji mikubwa ya Ukraine
Majeshi ya Urusi yameishambulia tena miji miwili mikubwa ya Ukraine mapema leo na kusababisha madhara makubwa kwa majengo na miundombinu ya nishati, lakini hadi sasa hakuna taarifa yoyote ya vifo. Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi wa mji mkuu, Kiev,…





