Category: MCHANGANYIKO
Basi dogo na lori la mizigo laua 10, Polisi watoa wito
Na Farida Mangube, Morogoro Watu kumi wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo Januari Mosi 2026 katika eneo la Mwidu Mikese, mkoani Morogoro. Ajali hiyo ilihusisha basi dogo na lori la mizigo…
Meya Kibaha akisimamisha uzalishaji kiwanda cha Fortune paper kwa uchafuzi mazingira
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WANANCHI wa Kata ya Misugusugu, Manispaa ya Kibaha, wamelalamikia uchafuzi mkubwa wa mazingira unaotokana na maji machafu yanayotiririshwa na baadhi ya viwanda, ikiwemo Kiwanda cha karatasi cha Fortune Paper, hali iliyolazimu manispaa kusimamisha shughuli za…
Wadau waeleza matarajio maboresho ya bandari kupitia ushirikiano wa umma na sekta binafsi
Zaidi ya wadau 100 wa sekta ya bandari na usafirishaji wameeleza matarajio yao juu ya maboresho ya uendeshaji wa bandari kwa lengo la kupunguza gharama za biashara na kuhakikisha manufaa yanawafikia wananchi kupitia ushirikiano wa sekta ya umma na binafsi…




