JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Handeni kuimarisha upatikanaji umeme – Rais Samia

πŸ“Œ Kituo kugharimu shilingi bilioni 50 πŸ“Œ Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa gridi imara Kilindi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza…

Serikali, sekta binafsi kuimarisha huduma za fedha nchini

πŸ“Œ Dkt. Biteko afungua tawi la Exim Benki Kahama πŸ“Œ Exim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya Kahama Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Uzinduzi wa tawi la Exim Bank Kahama…

TEA kufadhili miradi 113 ya kuboresha miundombinu ya elimu

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25 Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)imepanga kufadhili jumla ya miradi 113 ya kuboresha miundombinu ya elimu katika shule za msingi na Sekondari kwenye maeneo mbalimbali nchini yenye thamani ya sh.bil.11.3….