Category: MCHANGANYIKO
GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya bilioni 4 .04/- kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfuko wa Mazingira Duniani(GEF) kupitia Programu ya Ruzuku Ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili…
Sarafu yakwama siku sita kooni kwa mtoto
Mtoto wa miaka miwili ametolewa sarafu iliyokuwa imekwama kooni kwa muda wa siku sita katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) jijini Dodoma. Akizungumza leo Aprili 3, 2024 Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo (ENT) wa BMH, Emmerenceana Mahulu, amesema…
NSSF yawatembelea wazee Kata ya Tumbi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wafanyakazi wanawake (staff) kutoka NSSF Mkoa wa Pwani wamewatembelea na kuwaona wazee wa kata ya Tumbi na kuwatakia heri ya mfungo wa Ramadhan. Pamoja na mambo mbalimbali wazee waliomba wawe wanakumbukwa mara kwa mara kwa…
Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani yaua 12 Sudan
Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani liliua watu 12 na kujeruhi wengine 30 Jumanne katika mji wa kaskazini mashariki mwa Sudan wa Atbara, ambapo kufikia sasa, kulikuwa kumeepuka vita vya kikatili, madaktari na mashahidi wameliambia shirika la habari la AFP….
Mtoto wa siku moja afariki kwa kudaiwa kunyweshwa sumu na jirani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora JESHI la Polisi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora linamshikilia mwanamke mmoja aitwaye Wande Shija, mkazi wa Mtaa wa Mbagala B Kitongoji cha Magharibi kwa tuhuma za kumnywesha sumu mtoto mchanga wa siku moja wa jirani…





