Category: MCHANGANYIKO
CCM inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ikiwa na mtaji mkubwa wa wapigakura
Na Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Kwa mwaka huu wa 2025, moja ya tukio kubwa kabisa katika kalenda ya nchi yetu ni uwepo wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, 2025. Hili ni tukio la kidemokrasia na la kikatiba ambapo Watanzania…
Wakili Peter Madeleka ajitosa ubunge Jimbo la Kivule
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKILI Peter Madeleka amejitosa rasmi kuwania Ubunge katika Jimbo jipya la Kivule,huku akiikosoa CCM Juu ya Hali Ngumu ya Maisha Madeleka aliyejiunga na ACT Wazalendo hivi karibuni akitokea Chadema amechukua fomu Leo jijini…
Jafo: Serikali imeweka mazingira mazuri uwekezaji afya ya kinywa na meno hapa nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amesema kuwa Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hususan kwenye ujenzi wa viwanda vya kutengeneza vifaa tiba, ikiwemo vinavyotumika katika kutoa huduma ya afya ya…
Ujenzi daraja la Kipanda laleta hauni kwa wakazi vijiji viwili Momba
Momba, Songwe Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya…
TAKUKURU: Miradi ya bil 1/- Moro haijakidhi viwango
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Morogoro imebaini utekelezaji hafifu usiokidhi viwango miradi 12 ya maendeleo ikiwemo ujenzi, afya na elimu yenye thamani ya Sh bilioni 1.26. Mkuu wa TAKUKURU mkoa huo ,Pilly Mwakasege amesema hayo…