Category: MCHANGANYIKO
Mwenge kukagua miradi 51 ya bilioni 71.3 Manyara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simanjiro Mwenge wa uhuru mwaka 2025 utakagua, kuzindua na kutembelea miradi 51 ya maendeleo yenye thamani ya Sh bilioni 71.3 katika Mkoa wa Manyara. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameyasema hayo mji mdogo wa…
Sababu Halmashauri ya mji Kibaha kupandishwa hadhi kuwa Manispaa
Serikali imetangaza rasmi kupandisha hadhi ya Halmashauri ya Mji wa Kibaha kuwa Manispaa ya Kibaha kuanzia Juni 20, 2025. Uamuzi huu ni sehemu ya mkakati wa serikali kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya miji inayokua kwa…
Pinda ataka haki mchakato wa wagombea
WAZIRI Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Taifa, Mizengo Pinda amewataka waliopewa dhamana ya kusimamia mchakato wa uteuzi wa wagombea kwenye chama hicho kutenda haki. Pinda amesema kwa kufanya hivyo wataweza kuondoa…
Bilioni 28.8 zaimarisha sekta ya elimu Manyara kupitia mradi wa SEQUIP
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Mkoa wa Manyara umepokea kiasi cha Shilingi Bilioni 28.499 kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu mbalimbali ambayo tayari imeanza kufanya kazi huku mingine ikiendelea na ukamilishaji wa maeneo yaliyosalia. Fedha hizo zote zimetolewa na serikali…
Wanafunzi wamiminika banda la TCCIA
Baadhi ya wanafunzi wa Kidato cha Nne mchepuo wa Biashara kutoka Shule ya Sekondari Mwinyi iliyopo Mkuranga, Mkoani Pwani, wametembelea banda la Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea jijini…
Wasanii Chege na Madee wainogesha Sabasaba
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WASANII nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Said Juma ‘Chege Chigunda’ na Hamad Ally ‘Madee’, maarufu kama Samia Kings, wameinogesha Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kwa…