JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Mkuu anena


RUANGWA Na Deodatus Balile Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa, amevunja ukimya dhidi ya watu wanaomsakama mitandaoni wakidai anataka kugombea urais mwaka 2025, akiwataja kuwa watu hao wana nia ya kumchafua na kuvuruga utulivu na kasi…

TAKUKURU wambambikia kesi mwandishi

*Watumia taarifa walizopewa na JAMHURI kutaka kuuzima ukweli *Kamanda wa TAKUKURU Arusha amchuuza Mhariri, amlengesha *Ashiriki ubambikiaji kesi huku mtuhumiwa akitamba kuiweka mfukoni Serikali *Naibu Mkurugenzi Mkuu bila kusikiliza asema kesi iendelee, ni jinai ARUSHA Na Mwandishi Wetu Katika hali…

CCM, mchezo wenu ni mauti yenu

Na Deodatus Balile, Ruangwa Ndugu msomaji wangu, heri ya mwaka mpya 2022. Naamini umefika salama katika mwaka huu baada ya changamoto kubwa tulizopitia mwaka 2021.  Wengi walitamani kufika mwaka huu wa 2022, lakini Mungu hakuwapa nafasi hiyo. Mimi ni muumini…

BRAZA K… Msanii wa Futuhi mwenye vituko

TABORA Na Moshy Kiyungi Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa na waigizaji na wachekeshaji wenye vipaji tofauti vya kuvutia. Wazee wanawakumbuka watu kama Mzee Jongo, Bwana Kipara, Mzee Jangala, Bi. Hindu, Said Ngamba ‘Mzee Small’, Bi. Chau, Pwagu na Pwaguzi waliotamba…

‘Demokrasia’ iliyoletwa na NATO Libya

Na Nizar K Visram Uchaguzi wa Rais uliopangwa kufanyika nchini Libya Desemba 24, mwaka jana umeahirishwa ghafla baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa maaandalizi yaliyofanywa hayatoshi.  Tume ilitangaza siku mbili tu kabla ya uchaguzi, bila kusema sasa utafanyika lini….

Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022 (1)

Makala ya leo yenye anuani ‘Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022’ inaangazia suala lenye mitazamo miwili inayopingana katika jamii ya Kiislamu kutokana na kutofautiana rai za wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili.  Mtazamo mmoja ni…