Category: MCHANGANYIKO
Sumaye, Nagu katika vita kali
*Muhtasari wa kikao wachakachuliwa, jina la Dk. Nagu laingizwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, kinakabiliwa na mpasuko unaosababishwa na uhasama ulioibuka kati ya Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
Migogoro ya ardhi ni janga
Mhariri,
Kila siku migogoro ya ardhi inaripotiwa katika nchi yetu. Kuanzia Dar es Salaam hadi mikoani ni migogoro tu.
Mabaraza ya Kata yamesahaulika
Mhariri
Mabaraza ya Kata yameanzishwa kwa mujibu wa Sheria Na. 7/85 lakini halmashauri zinazosimamia mabaraza haya zimeyatelekeza kabisa. Mimi ni Katibu wa Baraza la Kata Kwashemshi. Tangu tuteuliwe mwaka jana hakuna mafunzo yoyote yaliofanyika, kitendo ambacho ni hatari sana. Mabaraza haya yamepunguza sana mlundikano wa kesi katika Mahakama za Mwanzo na Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya. Napenda niishauri Serikali yangu kwamba elimu kwa wajumbe hawa ni muhimu sana, kwani ni sehemu nyingi wajumbe wanalalamika kwamba wametelekezwa. Tatizo hili halipo kwa Baraza la Kata Kwashemshi tu bali mabaraza mengi nchini malalamiko ni haya haya.
Waziri Kagasheki atazame kasoro hii
Mhariri Kwanza tunampongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki kwa jitihada anazozifanya za kusafisha Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kwa jumla kwa kuondoa uozo uliokuwamo ndani kwa kipindi kirefu. Wakati jitihanda hizo zikifanyika,…
Mkurugenzi mzee king’ang’anizi Morogoro
*Mbunge Shabiby alia naye, alalamikia ukabila
Kwenye Mkutano wa Nane wa Bunge uliomalizika hivi karibuni, Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby, alizungumzia kero ya maji jimboni kwake na mkoani Morogoro kwa jumla. Alishangazwa na Mkurugenzi wa MORUWASA kuendelea kuajiriwa licha ya kuzeeka, na pia alihoji ukabila ndani ya mamlaka hiyo. Endelea
MCT wameonyesha njia, wanahabari tubadili nchi
Wiki mbili zilizopita nilipata fursa ya kwenda katika mikoa ya Tabora na Kigoma, kwa ajili ya kufundisha waandishi wa habari Azimio la Dar es Salaam juu ya Uhuru wa Uhariri na Uwajibikaji.
- Mitadi ya kimkakati ya TANROADS inaufungua Mkoa wa Songwe – Eng Bishanga
- Dk Nchimbi awasili Morogoro kusaka kura za ushindi wa kishindo
- Article 19 kushirikiana na JOWUTA kusaidia wanahabari nchini
- Dk Samia alipowasili uwanja wa Azimio Mjini Mpanda
- Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Uturuki
Habari mpya
- Mitadi ya kimkakati ya TANROADS inaufungua Mkoa wa Songwe – Eng Bishanga
- Dk Nchimbi awasili Morogoro kusaka kura za ushindi wa kishindo
- Article 19 kushirikiana na JOWUTA kusaidia wanahabari nchini
- Dk Samia alipowasili uwanja wa Azimio Mjini Mpanda
- Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Uturuki
- Tanganyika yanufaika na bilioni 558 za miradi ya maendeleo
- Kamati za urasimishaji makazi zatakiwa kushirikiana na viongozi wa mitaa
- Wafanyakazi sekta binafsi neema yawashukia
- Wenye viwanda na waajiri nchini waaswa
- TMA yatoa utabiri wa mvua za msimu, matarajio ni mvua chini ya wastani hadi wastani
- TANESCO Ruvuma yaanza kampeni ya majiko ya nishati safi ya kupikia
- TANROADS inaendelea na utekelezaji wa miradi ya bilioni 383/- Mbeya
- Dk Samia : Tutajenga kingo mto Kanoni kukomesha mafuriko Bukoba
- Trump kukutana na Zelenskyy baada ya kuzungumza na Putin
- Ruto: Nitakuwa mwaminifu kwa kile tulichokubaliana na Raila