Category: MCHANGANYIKO
Brigedia Jenerali Aliasa Taifa
*Asema udini na ukabila ni ufa unaobomoa Taifa letu
Moja ya hotuba za Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, zisizochujuka ni ile aliyoitoa pale Kilimanjaro Hotel mbele ya Klabu ya Waandishi wa Habari Tanzania Machi 13, 1995.
Katika mazungumzo yake siku ile alitaja nyufa tano zinazolitikisa Taifa letu kuanzia kwenye paa, katika dari, kutani hadi kufikia katika msingi ule imara wa Taifa uliojengwa kwa muda mrefu. Nyufa zilizotajwa zilikuwa:-
* Muungano
* Kupuuza na kutojali
* Kuendesha mambo bila kujali sheria
* Rushwa, na
* Ukabila na udini.
Natabiri Nyalandu atakuwa tatizo
Siku chache baada ya uteuzi wa viongozi wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii – waziri na naibu wake, niliandika waraka mahsusi uliowahusu. Moja ya mambo niliyoyazungumza ni namna wizara hii ilivyo na vishawishi vingi vinavyotokana na ukwasi wake.
CCM iwabaini, iwatimue wanaoihujumu
Jumatano iliyopita, baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka kata mbili za Azimio wilayani Temeke na Tandale, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, waliandamana ili kupinga hujuma walizodai zinavuruga uchaguzi mkuu wa ndani wa chama hicho na jumuiya zake zote unaoendelea hivi sasa.
Nidhamu itawapa wabunge heshima
WIKI hii tumeshuhudia michango mbalimbali ikitoka kwa wabunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Yametokea malumbano kati ya wabunge kadhaa na kiti cha Spika. Binafsi nilishuhudia tukio hili, hadi Mwenyekiti wa Bunge aliyekuwa amekalia kati cha Spika akaamuru mbunge mmoja kuondolewa ukumbini. Mabaunsa sita, walikwishajongea kwa nia ya kumtoa ukumbini, lakini yeye akajitoa mwenyewe.
Lundenga: Miss Tanzania imeitangaza nchi
Kwa muda wa miaka 18 iliyopita, mashindano ya Mrembo wa Tanzania yamekuza utamaduni, utalii na uwekezaji wa kigeni. Si hilo tu, mashindano haya yamewapa fursa mpya ya kujitambua wasichana Watanzania, anasema mwandaaji wa mashindano hayo, Hashim Lundenga.
Chadema sasa wadai rasmi Serikali ya Tanganyika
Hii ni sehemu ya maoni ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Tundu Lissu kuhusu Mpango wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013. Endelea
Katika maoni yetu kuhusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ilionyesha jinsi ambavyo “tafsiri hii mpya ya Makubaliano ya Muungano na Katiba ya Jamhuri ya Muungano imetiliwa nguvu kubwa na Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo imeipa Zanzibar nafasi na ushawishi mkubwa katika utungaji wa Katiba Mpya.”
- Serikali yaitaka NIDA kuboresha utendajikazi, yaipatia magari 140
- NLD imeweka vipaumbele vya kumwezesha kijana kujiajiri, yawaomba Watanzania wasifanye makosa Oktoba 29
- Mwili wa Raila kuagwa kwa siku ya pili leo Nairobi
- Guterres alaani jeshi kuchukua madaraka nchini Madagascar
- Papa Leo XIV: Kushindwa kuzuia njaa duniani ni dhambi
Habari mpya
- Serikali yaitaka NIDA kuboresha utendajikazi, yaipatia magari 140
- NLD imeweka vipaumbele vya kumwezesha kijana kujiajiri, yawaomba Watanzania wasifanye makosa Oktoba 29
- Mwili wa Raila kuagwa kwa siku ya pili leo Nairobi
- Guterres alaani jeshi kuchukua madaraka nchini Madagascar
- Papa Leo XIV: Kushindwa kuzuia njaa duniani ni dhambi
- Vurugu zashuhudiwa wakati wa kuagwa mwili wa Odinga
- Dk Mpango amwakilisha Rais Samia mkutano wa SADC
- Dk Mwinyi : Amani na umoja nguzo za maendeleo Zanzibar
- Polisi Pwani yachunguza mauaji ya watu wanne, miili yakutwa pembezoni mwa barabara
- Wakulima wadogo zaidi ya 747 kunufaika na mradi wa umwagiliaji Geita
- Vijana 50 wapatiwa elimu ya mpiga kura
- Dk Mpango : Makumbusho ya kisasa ya Ngorongoro kukuza utalii wa kihistoria
- Serikali itaendelea kufanya mageuzi sekta ya kilimo – Majaliwa
- Serikali yaendelea kuwezesha wananchi kupata hati milki za ardhi
- Serikali yaahidi sheria rafiki kwa wawekezaji kufanikisha Dira 2050