Category: MCHANGANYIKO
FCC, ZFCC zaendelea kutekeleza MOU kwa vitendo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, amefanya ziara ya kikazi katika Tume ya Ushindani Halali wa Biashara Zanzibar (ZFCC) ikiwa ni hatua ya kuimarisha mashirikiano kati ya taasisi hizo mbili…
AQRB yazikabidhi shule zawadi zao za insha 2024/25
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro BODI ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi ( AGRB) imekabidhi zawadi za zaidi ya Sh.milioni 6.8 kwa washindi wa shindano la Insha kwa mwaka 2024/25 huku ikiwataka wanafunzi kusoma zaidi masomo ya sayansi…
Katambi akutana na uongozi wa Kampuni ya Condor kutoka Brazil
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akizungumza na Wawakilishi wa Kampuni ya Condor, kutoka nchini Brazil, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali yanayohusiana na kudhibiti uhalifu, ambapo nchi mbili hizo, Tanzania na Brazil walibadilishana uzoefu katika masuala ya udhibiti…
Halmashauri Wilaya ya Shinyanga yakamilisha ujenzi jengo jipya
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Shinyanga HALMASHAURI ya Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyanga imesema kukamilika kwa jengo lake lililogharimu shilingi bilioni tatu kumeboresha utoaji wa huduma kwa wananchi wa halmashari hiyo kwa kiwango kikubwa. Halmashauri hiyo imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan…
Tamasha la Sauti za Busara lapamba moto
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Shamrashamra za ufunguzi wa Tamashara la Sauti za Busara linalojulikana kama Tamasha rafiki zaidi Dunia ,zimeendelea kushika kasi na maandalizi yapo katika hatua za mwisho. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari ,Mkurugenzi…
Dk Mwigulu akutana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.





