JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TMA yatoa taarifa ya uwepo kimbunga ‘Chenge’ Kusini Magharibi Bahari ya Hindi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo na mwenendo wa Kimbunga “CHENGE” katika Bahari ya Hindi, Kaskazini Mashariki mwa Kisiwa cha Madagascar umbali wa takribani kilometa 2400 kutoka Mashariki mwa pwani ya Mtwara. Kimbunga “CHENGE” kilianza…

Asilimia 83 ya Watanzania wathibitisha kupiga kura Oktoba 29,2025

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Takwimu zinaonyesha asilimia 83 ya wananchi walioshiriki kura ya maoni kutoka mikoa 19 wamethibitisha kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,2025 kwa kupiga kura. Takwimu hizo zimetolewa na Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika(Centre for International…

Viongozi wa dini Kaskazini wahimiza amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi VIONGOZI wa dini kutoka mikoa ya kanda ya kaskazini, wamewataka Watanzania kulinda amani ya nchi, hasa taifa linapoelekea katika Uchaguzi Mkuu, wakisisitiza kuwa amani ni nguzo muhimu kwa ustawi wa taifa. Viongozi hao kutoka mikoa…

Samia aahidi mageuzi sekta ya kodi

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kufanya mageuzi ya kodi mbalimbali endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza tena nchi.Amesema tume ya kukosa maoni kuhusu masuala ya kodi imekamilisha mchakato wake.Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati…

Samia: Vyombo vya ulinzi vimejipanga

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga vizuri wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo Kivule, Segerea, Ukonga…

Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kusini akimbilia CCM

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mjumbe wa Kamati Kuu, Abeid Mayala amejiondoa kwenye chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mayala amejiunga na CCM wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea urais wa chama,Samia Suluhu Hassan kwenye…