Category: MCHANGANYIKO
Kanisa Anglikana lasisitiza umuhimu wa Uchaguzi Mkuu Oktoba
📌 Askofu Mkuu Maimbo Mmdolwa ahimiza katiba ifuatwe 📌 Dkt. Biteko asema milango ya Serikali iko wazi kwa mazungumzo 📌 Asema Serikali inathamini mchango wa kanisa kwa jamii Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Askofu Mkuu…
Polisi Mbeya wachunguza tukio la kuvamiwa mfuasi wa CHADEMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa tukio la tarehe 02 Mei, 2025 la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Mpaluka Said Nyagali maarufu Mdude Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] na watu wasiofahamika na kisha kutoweka…
NMB yaandika historia kwa kushinda tuzo sita kubwa, ikiwemo ya benki bora kwa uendelevu barani Afrika
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB inatangaza mafanikio ya kihistoria ya ushindi wa tuzo sita za kimataifa kutoka kwa majarida mawili mashuhuri duniani – jarida la Euromoney linalochapishwa London, Uingereza, na Global Banking & Finance Magazine lenye makao makuu yake…
Dk Dimwa awapiga msasa wenye ulemavu
Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, ametoa wito kwa watu wenye ulemavu nchini kuacha kuwa watazamaji na badala yake kuwa wahusika wakuu katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa dola mwaka…