Category: MCHANGANYIKO
Majukwa ya usafiri yashiriki kuchangia uchumi Dar
Mwishoni mwa wiki ya Siku ya Wapendanao, Bolt Tanzania ilishuhudia ongezeko la mahitaji ya safari katika jiji la Dar es Salaam, huku maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mbezi Beach na Leader’s Club yakionesha kuwa ni vituo vilivyotumika zaidi kushushia na kusafirisha…
Tanzania, India kuimarisha ushirikiano wa kimkakati utekelezaji Dira ya Taifa 2050
Na Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dar es Salaam Serikali ya Tanzania na India zimekubaliana kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kwa lengo la kusaidia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha,…
Akofu Mstaafu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, amefariki
Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, amefariki dunia leo tarehe 19 Februari 2026 majira ya saa 4:00 usiku. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, Kardinali Pengo amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Taasisi ya…
Kamati ya Bunge yaita wawekezaji ujenzi wa vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa CNG
📌 Yapongeza kasi ya Serikali ujenzi wa vituo vya CNG Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, kupitia Mwenyekiti wake Mhe. Subira Mgalu, imetoa wito kwa wawekezaji kuunga mkono Serikali katika ujenzi wa vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa…
Dk Mwigulu aipa Wizara ya Maji wiki mbili
*Ni kwa ajili ya kukamilisha Mchakato wa kumpata mkandarasi mradi wa maji kutoka ziwa Chala. *Aitaka Wizara ya Fedha kufatuta fedha za malipo ya awali kuanza kwa ujenzi wa barabara Holili(Rotima)-Tarakea(Nayemi) Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameipa Wizara ya Maji…





