Category: MCHANGANYIKO
Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Uturuki
Na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji kutoka Uturuki kuwekeza katika sekta za kimkakati zikiwemo miundombinu, nishati na kilimo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuharakisha maendeleo ya uchumi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati…
Tanzania, Zambia kuimarisha miundombinu ya kimkakati sekta ya madini
Serikali za Tanzania na Zambia zimeazimia kuongeza kasi ya uboreshaji wa miundombinu ya usafirishaji wa madini ili kuchochea ukuaji wa sekta ya madini katika ukanda wa Kusini mwa Afrika. Hatua hiyo ilisisitizwa Machi 25, 2026 na Naibu Waziri wa Madini…
Waziri Mkuu akiwasili nyumbani kwa hayati Lukuvi kuongoza waombolezaji
📍Idodi, Iringa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William…
TARURA yatekeleza ujenzi wa Km 56 za barabara za lami Ilala kupitia DMDP II
‎Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam‎‎Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara zaidi ya Kilomita 56 kwa kiwango cha lami na zege kupitia mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam…
Fortune Paper yataka sera kulinda wazalishaji wa ndani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Kampuni ya Fortune Paper Group inayomilikiwa na wawekezaji wa China, imeiomba Serikali kuweka sera madhubuti zitakazolinda wazalishaji wa ndani dhidi ya ushindani unaotokana na bidhaa za bei nafuu zinazoagizwa kutoka nje ya nchi. Kampuni…





