Category: MCHANGANYIKO
Rais Mwinyi : Amani na utulivu ni mafanikio ya Uchaguzi 2025 Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kwa kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2025 kwa amani na utulivu. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo,…
Mwanri: Mazungumzo ya wadau yameonyesha mwanga wa maridhiano
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Aggrey Mwanri, amesema mazungumzo yaliyofanywa na wadau kuhusu hali ya kisiasa nchini yameonyesha mwanga mkubwa juu ya maridhiano na utayari wa wadau katika kupata mwafaka mzuri. Amesema hayo leo Septemba…
Viongozi mbalimbali wahudhuria mazishi ya mume wa Rais Samia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa heshima za mwisho kwa Marehemu Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi yaliyofanyika…
NEMC Yaeleza nafasi yake katika Kongamano la 5 la Kimataifa la Uchumi wa Buluu
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kongamano la 5 la Kimataifa la Uchumi wa Buluu, limejipambanua katika sekta ya mazingira kwa kusisitiza umuhimu wa matumizi endelevu ya rasilimali za bahari, mito, maziwa na maeneo ya…
TCMA yawaonya watoa huduma za afya wanaogeuza wagonjwa kuwa vitega uchumi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Watoa huduma za afya nchini wametakiwa kuzingatia maadili, uadilifu, huruma na utu katika kuwahudumia wagonjwa na kuacha mtazamo wa kuona ugonjwa wa mtu ni fursa ya kujipatia fedha. Rai hiyo imetolewa na Askofu Mkuu wa Kanisa la…
Uwekezaji kwa vijana ni msingi wa viongozi bora
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM VIJANA nchini wametakiwa kupewa mafunzo ya uongozi tangu wakiwa katika umri mdogo ili kuwaandaa kuwa viongozi wenye maadili, uwajibikaji na uwezo wa kuongoza katika nyanja mbalimbali, hatua inayolenga kuchangia utekelezaji wa Dira ya Taifa…





