Category: MCHANGANYIKO
Papa aongoza misa kwa mara ya kwanza
Papa Leo XIV ameongoza Misa katika Kanisa la Sistine, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo kama kiongozi wa Kanisa Katoliki. Alibusu madhabahu na kuizunguka mara moja akiwa na moshi wa ubani. Papa aomba msamaha wa Mungu Ibada hiyo imeanza…
Serikali yasikitishwa na azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kesi ya Tundu Lissu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeeleza kusikitishwa kwake na azimio la Bunge la Ulaya la baadhi ya watendaji wa kimataifa kutoa maamuzi kwa kuzingatia taarifa zisizo kamili. Imesema imezingatia azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8…
Mapato yasiyo ya kodi yafikia asilimia 67, OMH yadhamiria kufikia lengo la mwaka
Serikali, kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), imeendelea kuonesha mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi, baada ya kukusanya Sh749 bilioni hadi kufikia Mei 7, 2025 sawa na asilimia 67 ya lengo la mwaka wa fedha 2024/25…
Vikundi 49 vya wanawake wajasiriamali Mbulu Mji kupata mikopo ya milioni 168
Na Mwandishi wetu, Mbulu Vikundi 49 vya wanawake wajasiriamali waliopo kwenye Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara, wanatarajia kupatiwa mikopo ya Sh168 milioni. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Rehema Bwasi ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha…
Ujio wa Rais wa Msumbiji watoa ishara ya Umoja wa Afrika
Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa amesema kuwa ziara ya Rais wa Msumbiji Daniel Chapo ni ishara tosha kuwa Afrika inafuatilia kwa karibu maendeleo yanayopatikana katika sekta ya miundombinu…