JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

RPC Songwe aongoza kuuaga mwili wa Ex Sajenti Perpetua

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), ameongoza maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali, majeshi mengine pamoja na wananchi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Songwe katika hafla ya kuuaga mwili wa Ex Sajenti…

Kinywaji kipya chazinduliwa Dar

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi nchini wameshauriwa ,kutumia kinywaji chenye radha asilia cha Vin Nko kinachopatikana kwa baadhi ya nchi. Hayo yamebaiisha na Mkurugenzi wa Kampuni ya Cavido Company Limited Dominick Salamba wakati wa uzinduzi wa kinywaji…

Tanzania, Malawi wasaini mkataba kuimarisha biashara za wafanyabiashara wadogo

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Malawi Wafanyabiashara wadogo wanaofanya biashara katika mipaka ya Tanzania na Malawi wanatarajia kunufaika na Mfumo Rahisi wa kurahisisha na kuimarisha biashara za wafanyabiasha wadogo zinazofanyika katika mipaka ya Tanzania na Malawi (Simplified Trade Regime (STR) hususan…

Samba mbaroni kwa tuhuma za kukutwa mirungi Same

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama hususan Jeshi la Polisi, kuanzia tarehe 10 hadi 16 Februari, 2026 imefanya operesheni maalum katika vijiji vya Marieni na…

Kamati ya ushauri Kibaha yapitisha bajeti ya bilioni 66.7/- kwa mwaka wa fedha 2026/2027

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Kibaha imepitisha na kuidhinisha rasimu ya mpango wa bajeti ya Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 66.7. Kwa mujibu wa…

Waziri Mkuu Mwigulu avutiwa kasi utekelezaji mradi wa EACOP, kuzalisha ajira, kukuza uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevutiwa na maendeleo ya mradi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kutoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa na…