JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yazindua awamu ya kwanza ya mradi wa kupeleka nishati safi ya kupikia

📌Unahusisha Shule za Sekondari 52 na Chuo kimoja cha VETA 📌Ni sehemu ya mradi wa Shilingi bilioni 25.8 wa kupeleka nishati safi ya kupikia kwa taasisi 453 Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amezindua awamu ya kwanza ya mradi…

Mwinyi : Serikali imejipanga kumaliza tatizo la usafiri na usafirishaji Pemba

📍 Chake Chake, Kusini Pemba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali imejipanga kikamilifu kumaliza tatizo la usafiri na usafirishaji wa mizigo katika Kisiwa cha Pemba. Ameyasema hayo leo alipoufungua…

Dk Kusiluka afungua mkutano wa Sita wa Serikali Mtandao, atoa maagizo

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amefungua rasmi mkutano wa sita wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) leo jijini Arusha, akisisitiza umuhimu wa taasisi za umma na binafsi kuharakisha mageuzi ya kidijitali ili kuboresha…

Dk Mwigulu : Fedha za miradi zitumike kama ilivyokusudiwa

*Aonya watendaji wa Serikali “kuzoea” matatizo ya wananchi *Azindua mitambo ya kuzalisha hewa tiba ya Oksijeni WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa anataka kuona kila fedha inayotolewa kwa ajili ya miradi ya maendeleo inatumika kama ilivyokusudiwa. Amesema kuwa Serikali…

Kihongosi akagua utekelezaji miradi ya bil. 2.5 Nzega

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) anayesimamia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi ameeleza kufurahishwa na kazi nzuri ya utekelezaji miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Nzega Mkoani hapa. Akiwa katika siku ya pili…

Tume ya uchunguzi yakutana na Katibu Mkuu Mnyepe, Gugu

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeendelea na vikao vyake leo Februari 16, 2026 kwa kukutana na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga…