Category: MCHANGANYIKO
Viongozi wa Dini waaswa kuimarisha mafundisho kwa wanandoa kunusuru kuvunjika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Dkt.Dorothy Gwajima amewaasa viongozi wa dini zote nchini kuimarisha mafundisho kwa wanandoa kabla na baada ya kuingia kwenye ndoa ili kuwanusuru na mifarakano inayopelekea ongezeko la kuvunjika kwa ndoa na…
Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo
Msumbiji itashirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete( JKCI) kwa kuwatuma wataalamu wake kujifunza namna ya kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa wagonjwa ili nchi hiyo iwe uwezo wa kutoa huduma hizo kwa wananchi. Ushirikiano mwingine ni wa kuwapeleka…
Adaiwa kumuua mwanamke kwa tuhuma za kumuambukiza virusi UKIMWI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mara JESHI la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Samweli Emmanuel maarufu kwa jina la ‘Nzaliya’ (20), mkazi wa kijiji cha Nata, Wilaya ya Serengeti, kwa tuhuma za mauaji ya Josephina Magani (52), ambaye pia ni mkazi wa…
Tanzania yadhamiria kuendeleza mageuzi ya kidigitali katika elimu
📌 Asema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa elimu 📌 Asema Afrika lazima iendelee kuimarisha mazingira wezeshi kwa kampuni bunifu za kidigitali Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….