Category: MCHANGANYIKO
ongezi JWTZ kwa kutimiza miaka 50 -2
Juma lililopita, nilitoa pongezi kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa Septemba Mosi, 1964. Ukweli Jeshi hili liliasisiwa baada ya Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles-TR) kuasi Januari 20,1964.
Pongezi ‘JAMHURI’, Maimuna Tarishi mapambano ya mauaji ya tembo
Tunaomba kukupongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi, na baadhi ya wadau kwa kufungua baadhi ya fahamu za Watanzania wazalendo na wanyonge, na huo ndiyo uongozi bora kwa viongozi wapenda maendeleo ya nchi yao.
Mheshimiwa Sitta acha kututania!
Nyalandu aanza kulipa ndege aliyofadhiliwa
Mara baada ya Balozi Khamis Kagasheki kujiuzulu kutokana na shinikizo la wabunge kadhaa, baada ya taarifa ya James Lembeli juu ya Operesheni Tokomeza kuwasilishwa bungeni Novemba, mwaka jana; Lazaro Nyalandu, wakati huo akiwa ni Naibu Waziri katika Wizara ya Maliasili na Utalii, alisafiri sana huku na kule nchini.
‘Hatuchukui tena makapi ya CCM’
Niliposoma maneno hayo katika Gazeti la Mwananchi toleo Na. 5098, Jumanne, Julai 8, 2014, ukurasa wa mbele (na maelezo uk. 4: Siasa) nilipigwa na butwaa!
Lakini nilitaka nijiridhishe na kile nilichokisoma kwa kuwapigia simu wahusika — Gazeti la Mwananchi. “Haya mliyoandika mna hakika yametamkwa na Dk. Wilbrod Slaa, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)?”
Operesheni saka wachawi yatikisa Geita
Vikongwe waauwa
Operesheni haramu ya mauaji ya kinyama dhidi ya wanawake vikongwe, inayofanywa na kikundi cha Chinja Chinja isipodhibitiwa mkoani wa Geita, kuna hatari ya hazina hiyo muhimu kwenye Taifa kumalizika kwa kuuawa bila hatia.
Habari mpya
- Mkuranga watakiwa kulinda miundombinu ya gesi asilia
- Wananchi wafurahishwa na elimu ya PBP Maonesho ya Utamaduni
- NMB, Bunge wachochea hamasa ya AFCON 2027
- Puma Energy Tanzania yapongwezwa kwa huduma na gawio kwa Serikali
- CMT yawataka wawekezaji kutumia baraza kutatua migogoro kwa haraka
- NEEC yawataka wananchi Kahama kuchangamkia fursa za kituo cha Mwendakulima
- Mfumo wa PBPA waleta unafuu wa mafuta nchini
- Msajili wa Hazina ataka mageuzi makubwa TBC
- Bodi ya REB yaridhishwa na usambazaji umeme kisiwani Jibondo
- TBS Yateketeza Tani 3.4 za Unga wa Mahindi usiokidhi viwango
- NMB, Bunge kuwakutanisha zaidi ya 1,000 michezoni Dodoma
- TPLB yatangaza tarehe ya kuanza kwa msimu wa NBC Premier League 2026/2027
- Ushirikiano wa NHIF na ZHSF wavutia Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi
- GCLA endeleeni kuwajengea uwezo wadau wa tiba asilia
- 11 mbaroni tuhuma za wizi wa miundombinu ya TTCL