JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Katavi wampa heko Rais Samia Vijijini

Fursa lukuki za kiuchumi zaibuliwa Wananchi waeleza namna maisha yao yalivyobadilika Wananchi wa Kijiji cha Mapili Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha kubadili maisha yao…

Norland Global Tanzania yangโ€™ara Qatar

Na Mwandishi Wetu, Doha, Qatar Mkurugenzi Mtendaji na Daktari wa Norland Global Tanzania, Dkt Moses Makalla, amesema hapa kuwa amefurahishwa na mrejesho wa watumiaji wa dawa asili za kampuni yao hapa doha nchini Qatar. โ€œUkimpa mgonjwa dawa au tiba lishe…

CUF : Hatugombei kushiriki, tunagombea kushinda

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, Othman Dunga ameeleza kuwa CUF haishiriki uchaguzi kwa ajili ya kushiriki tu, bali kwa lengo la kushinda na kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi….

Mahakama Kuu yatupa maombi ya Lissu ya kupinga mashahidi kufichwa

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Masijala ndogo imetupa maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kupinga mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni. Pia, mahakama hiyo…

Trump, Putin kukutana Ijumaa mjini Anchorage

Mkutano kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Urusi wa kusaka suluhisho la mzozo wa Ukraine utafanyika Ijumaa katika mji wa Anchorage jimboni Alaska. Ikulu ya White imefahamisha usiku wa kuamkia leo kuwa mkutano huo unaosubiriwa…