JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

UDSM yaishukuru Serikali Awamu ya Sita kuboresha miundombinu ya elimu na utafiti

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuendelea kukiimarisha kupitia uboreshaji wa miundombinu ya kujifunzia na utafiti katika kampasi zake. Shukrani hizo zimetolewa Jumamosi na Mkuu wa Chuo, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho…

Tanzania, India yaingia makubaliano kuendeleza tiba asili

Na John Mapepele – New Delhi Serikali ya Tanzania na India zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu ushirikiano kwenye Sekta ya Afya katika kuendeleza tiba asilia (Ayurveda), huku Tanzania ikiwakaribisha wawekezaji kutoka sehemu duniani kuja kuwekeza na kuwahakikishia kuwapatia mazingira…

Prof. Shendoe awaelekeza walimu wakuu kudhibiti utoro wa wanafunzi na walimu

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi wa Waziri Mkuu – TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi nchini kuhakikisha wanadhibiti changamoto ya utoro kwa wanafunzi na walimu katika shule wanazozisimamia. Prof. Shemdoe alitoa…

Naibu Waziri Maghembe ashiriki Maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Zambia

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe ameshiriki sherehe ya maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia, zilizofanyika jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2025. Akizungumza katika hafla hiyo,…

Dk Mwingulu aweka jiwe la msinhgi ujenzi wa Kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam Mkoa Lindi

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Lindi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika eneo la Ngongo mkoani Lindi na kusema kwamba huo ni uthibitisho wa dhamira ya Serikali ya kupanua…