Category: MCHANGANYIKO
Dk Samia kuja na mkakati wa taifa kujitosheleza na ngano, barabara
MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuja na mkakati wa kuliwezesha taifa kujitosheleza kwa ngano ikiwemo serikali kuyatwaa mashamba yaliyochukuliwa na wawekezaji bila kuyaendeleza. Pia, amewatoa hofu wakulima wa mbaazi nchini kuhusu soko…
JWTZ lakaa pembeni suala la uchochezi
Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ limesema kuwa limebaini uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao mbalimbali ya Kijamii kuweka maudhui na ujumbe mbalimbali wenye kuchochea kuliingiza Jeshi hilo katika masuala ya siasa. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na uhusiano kutoka…
Manispaa ya Mji Kibaha imetenga milioni 420 kufungua na kuboresha Baraza za mitaa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Manispaa ya Kibaha, mkoani Pwani imetenga sh. milioni 420 kutoka mapato yake ya ndani kwa ajili ya kufungua na kutengeneza barabara za mitaa katika kata 14 , ikiwa ni hatua ya kupunguza kero za miundombinu…
Uchapakazi wa Dk Samia umeleta imani kwa wapinzani, waikubali CCM
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro amewapokea wanachama watatu (3) ambao mmoja ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na wawili wa…
Kunenge – IPOSA ilete matokeo na kuacha alama Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameagiza Idara ya Elimu mkoani humo kusimamia utekelezaji wa Mpango wa Elimu Changamani kwa Vijana walio nje ya Mfumo Rasmi wa Elimu (IPOSA), akisisitiza kuwa lazima mpango huo…
Sumaye: Samia ni mvumilivu, CCM haianguki
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Manyara Mratibu wa Kampeni Kanda ya Kaskazini na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mvumilivu mno. Sumaye ametoa kauli hiyo wakati akisalimia maelfu ya wananchi wa Manyara wakati wa…





