JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Spika Tulia: Serikali itaendelea kupambana na changamoto ya mikopo kwa wanafunzi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amesema Bunge litaendelea kuishauri na kuisimamia Serikali kushughulikia kwa haraka changamoto ya ucheleweshaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu,…

Serikali yahamasisha matumizi ya teknolojia kutunza mazingira

Na MJovina Massano Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa kwa wadau wote wa mazingira kuhamasisha matumizi ya teknolojia za urejelezaji wa taka kutunza mazingira. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati…

Ocean Road yaweka kambi viwanja vya Bunge, wabunge wajitokeza kufanyiwa uchunguzi wa saratani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Taasisi ya Saratani Ocean Road, imeweka kambi katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma na kutoa huduma za kibingwa na kibobezi za uchunguzi na tiba kwa wagonjwa wa saratani. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni wiki ambayo…

Wakuu wa vyuo, waratibu watakiwa kuzingatia mwongozo ili kutokomeza vitendo vya ukatili vyuoni

Na WMJJWM – Tabora Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka Waratibu madawati ya Jinsia katika Vyuo Vikuu na vya Kati kuzingatia Mwongozo wa uanzishwaji, uendeshaji na ufuatiliaji wa…

Mndolwa amtaka mkandarasi kuzingatia viwango mradi wa Kasoli Simiyu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kushtukiza na kukagua mradi wa Umwagiliaji mkoani Simiyu ukiwemo mradi wa ujenzi wa bwawa la Umwagiliaji na skimu ya Kasoli, iliyopo Kata ya…

Bunge lapitisha bajeti ya trilioni 20.19 ya Wizara ya Fedha

Na Saidina Msangi, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025-2026 ya kiasi cha Sh. trilioni 20.19 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo kwa…