Category: MCHANGANYIKO
Wanafunzi waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za mauaji wameachiwa huru
Na John Walter, JamhuriMedia, Babati Mkuu wa Wilaya ya Babati na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Emmanuela Kaganda, amesema wanafunzi waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kumshambulia mwenzao hadi kufariki dunia wameachiwa huru na sasa wanaendelea…
Serikali yatoa mwongozo wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2026
Serikali imetoa mwongozo rasmi wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa mwaka 2026, yatakayofanyika kuanzia Machi 1 hadi 8 kote nchini. Hayo yamebainishwa Februari 17, 2026 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe….
Akwilapo asisitiza maeneo ya umma kupimwa na kulindwa kuepuka uvamizi
Na Munir Shemweta, Lushoto WANMM Katika jitihada za kuhakikisha maeneo ya umma hayavamiwi na kusababisha migogoro ya ardhi, Serikali imeendelea kusisitiza taasisi za umma nchini kupima na kuyalinda maeneo yake. Kauli hiyo ya Serikali inafuatia kujitokeza kwa changamoto za ardhi…
Dk Dugange : Ushirikiano SJMT, SMZ ni nguzo hifadhi ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange ushirikiano wa Tanzania Bara na Zanzibar ni nguzo muhimu katika kukabiliana na athari za mazingira. Alisema hayo wakati wa kikao cha…
THBUB yafika kijiji cha Dunga kuwapa elimu ya haki za binadamu
Na Mwashamba Juma (THBUB), Zanzibar Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, THBUB ofisi ya Zanzibar, imewajengea uelewa mpana wanakijiji wa Dunga Kiembeni kuhusu masuala ya uvunjifu wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora. Akizungumza…
Mtambo wa oksijeni waokoa maisha ya wananchi Lushoto
Na OWM – TAMISEMI, Lushoto Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuokoa maisha yake na wananchi wa Lushoto kwa kutoa…





