Category: MCHANGANYIKO
Dk Mwigulu : Nikiondoka baadhi ya mawaziri wanabaki Tanga
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaagiza baadhi ya mawaziri alioambatana nao wabakie mkoani Tanga ili kufuatilia masuala yaliyoibuliwa na wananchi na kuyatafutia ufumbuzi. Masuala hayo yalitokana na hoja zilizoibuliwa kwenye mikutano ya hadhara na wabunge wa mkoa wa Tanga na…
TRC yaanza rasmi usafirishaji mizigo kwa kutumia container carriers SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi. Akizungumza wakati…
Tume ya Uchunguzi yakutana na Waziri wa Mambo ya Nje
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 17, 2026 imekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo…
Polisi watinga Ofisi za CUF Buguruni, Sakaya apinga uamuzi wa msajili
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam POLISI wametia mguu katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) zilizopo Buguruni na kuweka ulinzi mkali kufuatia kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa chama hicho kuingia wakiwa na mabango na…
Wajasiriamali Jimbo la Mtumba kukopeshwa bilioni 2 za mtaji
▪️Ni kwa ushirikiano wa Ofisi ya Mbunge na CRDB FOUNDATION ▪️Zaidi ya Wananchi 3000 kunufaika na mpango huu ▪️Mbunge Mavunde awataka wanamtumbu kuchangamkia fursa ▪️Mradi mkubwa wa kilimo upo njiani Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtumba Mbunge wa Jimbo la Mtumba…
Dk Mwigulu : Serikali itaendelea kuiboresha Bandari ya Tanga ili kukidhi ushindani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuiboresha Bandari ya Tanga ili iweze kukidhi ushindani wa kibiashara uliopo katika bandari za mwambao wa Bahari ya Hindi. Akizungumza Februari 16, 2026 wakati wa ziara…





