JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TPA kinara wa gawio Serikalini, yatoa bilioni 181.5

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetwaa tuzo ya taasisi iliyochangia gawio kubwa zaidi serikalini ikilinganishwa na taaasisi nyingine za Umma ambapo wametoa Tsh bilioni 181 katika mwaka wa fedha wa 2025/2026….

MD Twange aendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupika kwa umeme

📌Atumia sehemu ya ziara yake kuelimisha na kugawa zawadi za majiko janja kwa viongozi wa Serikali za Mikoa na Wilaya Kanda ya ziwa 📌Asisitiza wananchi wasiogope kupika kwa umeme kwani ni gharama nafuu. Katika kuhakikisha elimu ya nishati safi ya…

Tabibu kituo cha Afya Magena kortini kwa rushwa ya 350,000/-

Juni 10, 2025 katika Mahakama ya Wilaya Tarime mbele ya Mheshimiwa Veronica Seleman (Hakimu Mfawidhi) wa mahakama hiyo, imefunguliwa kesi ya Rushwa Namba 13960/2025 – Jamhuri dhidi ya JACOB IBRAHIM WANKYO, Tabibu wa Kituo cha Afya Magena. Akisoma hati ya…

Serikali yaombwa kuwapa kipaumbele wazalishaji wa bidhaa wa ndani

Na Jovina Massano WAZALISHAJI wa bidhaa za vilipuzi inazotumika migodoni waiomba serikali kuwapa kipaumbele wa soko ili kuwawezesha kuongeza wigo mpana wa kuongeza nafasi za ajira hapa nchini. Hayo yamesemwa na Mhandisi Joseph Richard Juma kutoka SOLAR NITROCHEMICAL LTD watengenezaji…

Historia yaandikwa, Rais Samia apokea Sh1 trilioni kama gawio na michango mingine

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan Leo, Juni 10, 2025 amepokea kiasi cha Sh1.028 trilioni kama gawio na michango kutoka mashirika ya umma yaliyo chini ya usimamimizi wa Ofisi ya Msajili…

Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo

Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11 ya mwaka 23/24. Uwekezaji…