JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yakabidhi hati mbili za mashamba ya umwagiliaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Serikali mkoani Mara imekabidhi hati mbili za shamba la umwagiliaji la Bugwema lililopo katika halmashauri ya Musoma vijijini kwa Tume ya Taifa ya Umwagilaiji. Mashamba hayo ni maalumu kwaajili ya kuanza ujenzi wa miundombinu ya…

CHAKAMWATA wampongeza Rais Samia kupandisha mishahara kwa watumishi

Na Manka Damian , JamhuriMedia ,Mbeya CHAMA cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mshahara kwa watumishi wa umma kwani ameweka historia kwa nchi nahaijawahi kutokea kwani Rais amegusa maisha ya…

TEMESA Arusha yatekeleza maagizo ya Serikali kwa mafanikio kupitia mfumo wa MUM

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mkoa wa Arusha umetimiza maagizo ya serikali kwa kuanza rasmi kutumia Mfumo mpya wa kidigitali wa Usimamizi wa kazi za matengenezo (MUM) ambao unatajwa kuwa suluhisho la kuondoa urasimu…

REA yakamilisha kufikisha umeme vijiji vyote 523 Mkoa wa Lindi

📌 Wananchi wasisitizwa kulinda miundombinu ya umeme 📌 Vitongoji 1481 kati ya 2406 tayari vimefikishiwa umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamekabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack Vijiji vyote 523 ambavyo tayari…

Breaking News; Cleopa Msuya afariki dunia, Rais Samia atangaza siku saba za maombolezo

Rais Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa kifo cha Mzee Cleopa David Msuya, aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu kilichotokea leo Mei 7, 2025 majira ya saa tatu asubuhi, katika Hospitali ya Mzena, jijini Dar…

Wataalam Afrika Mashariki wajadili Nishati Safi ya kupikia jijini Arusha

Kongamano la kwanza la Nishati Safi ya Kupikia Afrika Mashariki linaendelea jijini Arusha. Leo tarehe 7 Mei, 2025 ambayo ni Siku ya Pili ya Kongamano, Wataalam kutoka Tanzania, Rwanda, Kenya, Burundi, Uganda na Malawi wanaendelea na majadiliano kuhusu masuala mbalimbali…