JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Marekani, China kuanza mazungumzo kuhusu vita vya kibiashara

MAAFISA wa Marekani na China wanatazamiwa kuanza mazungumzo wiki hii ili kujaribu kupunguza vita vya kibiashara kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani. Naibu Waziri Mkuu wa China He Lifeng atahudhuria mazungumzo hayo nchini Uswizi kuanzia tarehe 9…

Mvua yaleta maafa Moshi, watatu wafariki kwa kuagukiwa na nyumba wakiwa wamelala

Na Kija Elias, JamhuriMedia, Moshi Watu watatu wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kubomoka kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey…

Mbaroni kwa tuhuma za kumuua mwanaye na kumtupa chooni Iringa

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Iringa Jeshi la Polisi mkoni Iringa linamshikilia Joseph Yustino Mhilila mkazi wa mtaa wa Lukosi Kata ya Mtwivila kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Timotheo Mhulikwa (6) aliyepotea tangu Aprili 1, 2025. Akizungumzia tukio hilo Mwenyekiti…

Kongamano la kwanza la Nishati Safi ya kupikia Afrika Mashariki lafanyika

📌 Tanzania yapongezwa kuwa kinara utekelezaji Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Kamishna Luoga aeleza hatua zinazochukuliwa na Serikali kuwezesha wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia 📌 UNDP yampa kongole Rais Samia kwa Dira ya Nishati Safi ya Kupikia…