Category: MCHANGANYIKO
Ni maono ya Dk Samia wananchi wote wapate umeme -Kapinga
📌 Asema wakati Serikali ya Awamu ya Sita inaingia madarakani Vijiji 4000 havikuwa na umeme 📌 Aitaka TANESCO na REA kuendelea kutoa elimu ya kuunganisha umeme 📌 Nishati ya umeme yauongezea ufanisi Zahanati ya Mang’oto Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith…
COSTECK imetenga milioni 600 kutekeleza miradi minne ya ubunifu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma TUME ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu(COSTECH)imetenga milioni 600 kwa ajili ya kutekelezwa miradi minne ya usalama wa chakula,ikihusisha udhibiti wa magonjwa ya mazao,uboreshaji wa uhifadhi wa chakula na ubunifu wa vyakula vyenye virutubishi vya hali ya…
NSSF yaongeza thamani ya mfuko kwa asilimia 92
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katika juhudi za kutambua mchango wa sekta binafsi katika kukuza uchumi, Serikali imewezesha ukuaji mkubwa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambapo thamani ya mfuko imeongezeka kwa asilimia 92, kutoka TZS bilioni…
Kamati ya Bunge yapongeza miradi ya TEHAMA, yataka wabunifu walindwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Selemani Moshi Kakoso, imefanya ziara katika ofisi za Tume ya TEHAMA (ICTC) kwa kukagua shughuli za taasisi hiyo, ikiwemo mradi wa…
Wachimbaji wadogo waishukuru Serikali
MBOGWE WACHIMBAJI wadogo wa madini wilayani Nyang’wale wameishukuru Serikali kwa kutengeneza mazingira mazuri kwa wawekezaji ambao wanatoa msaada wa kiufundi ambapo elimu ya uchimbaji na vifaa vimetolewa kwa wachimbaji hao. Lengo ni kuwatoa kwenye uchimbaji mdogo na kuwa uchimbaji wa…
Dkt. Ndumbaro azitaka Bodi za Wadhamini zising’ang’anie madaraka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro ameziagiza Bodi mbalimbali za Wadhamini wa taasisi ambazo zimemaliza muda wake wa uongozi kufanya uchaguzi mara moja ndani ya kipindi cha miezi miwili.Akizungumza kwenye ufunguzi…