Category: MCHANGANYIKO
Mahakama ya Afrika yafuta hukumu ya kunyongwa kwa Tembo Hussein, yatangaza adhabu ya kifo si ya kibinadamu
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia,Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, iliyoko Arusha, imetoa hukumu ya kihistoria katika kesi ya Tembo Hussein dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikibatilisha hukumu ya kifo na kutangaza kuwa adhabu hiyo…
Serikali yazindua mradi wa umwagiliaji wa bilioni 33.8 Iringa, wakulima 8600 kunufaika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imezindua mradi wa ujenzi na ukarabati wa skimu za umwagiliaji mkoani Iringa, utakaogharimu sh bilioni 33.8 ukilenga kuongeza tija ya kilimo kwa wakulima wa vijiji vya Kata…
Waganga wa jadi waonywa kuelekea Uchaguzi Mkuu
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WAGANGA wa Jadi Mkoani Tabora wametakiwa kujiepusha na vitendo vya aina yoyote vinavyoweza kuchochea uvunjifu wa amani miongoni mwa jamii katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Onyo hilo…
Dk Kimambo: Maafisa ustawi wa jamii Muhimbili weledi, upendo na moyo wa huruma kwa wagonjwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili,(MNH) Dkt. Delilah Kimambo, amewataka watumishi wa ustawi wa jamii hospitalini hapo kuzingatia weledi na kuonyesha moyo wa huruma na upendo wakati wa kuwahudumia wateja wanaofika kupatiwa…
Dodoma Kuandika Historia Mpya ya Usafishaji wa Shaba
Kiwanda cha Shengde chakaribia kuanza uzalishaji rasmi mwezi Julai Mkoa wa Dodoma unajiandaa kuandika historia mpya katika sekta ya usafishaji wa madini, kufuatia hatua za mwisho za ujenzi wa kiwanda kipya cha Shengde Precious Metal Resources Company Ltd, kilichopo eneo…





