Category: MCHANGANYIKO
Mwenge wa Uhuru wazindua boti ya doria na ukaguzi Bagamoyo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa boti ya doria na ukaguzi baharini katika soko la samaki, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, utakaodhibiti upotevu wa mapato yatokanayo na uvuvi, kuzuia uvuvi haramu na biashara za magendo zinazofanyika…
Mchengerwa : Kazi ya kuleta maendeleo Rufiji ni ibada si siasa
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa kazi ya kuleta maendeleo aliyofanya wilayani Rufiji ni sehemu ya ibada, siyo siasa. Alisema hakujielekeza katika mlengo…
Walioshindwa kurejesha mawasiliano Somanga kuchukuliwa hatua – Ulega
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesisitiza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wataalam kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) waliouhusika na uzembe wa kushindwa kurejesha kwa wakati mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es Salaam – Lindi eneo la Somanga Mtama mkoani…
Ukraine yakiri wanajeshi wake kuingia eneo linalodhibitiwa na Urusi
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amekiri hadharani kwa mara ya kwanza kwamba vikosi vya Ukraine viko katika eneo la Belgorod, Urusi. Katika hotuba yake aliyoitoa Jumatatu, Zelensky alisema, “Tunaendelea kufanya operesheni za kijeshi katika maeneo ya mipakani kwenye ardhi ya…
Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 15 yenye thamani ya bil. 2.8 Mafia -Mangosongo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhutiMedia, Mafia Mwenge wa Uhuru umetembelea ,kukagua na kuweka jiwe la msingi miradi 15 yenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 2.8 . Akipokea mwenge wa Uhuru Aprili 7, 2025, kwa mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali…