JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Watendaji daftari la wapiga kura watakiwa kufanyakazi kwa weledi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Tanga na Pwani wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, bidii na moyo wa kujituma ili kufanikisha zoezi hilo. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya…

Mkuu wa shule ajiua kwa kunywa sumu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Shule ya Sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi (44,) amekufa baada ya kunywa kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, SACP…

Mwanafunzi aliyejinyonga kwa mtandio azikwa

Mwili wa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Simiyu, Latifa Juma ,17, aliyepoteza maisha kwa kujinyonga kwa kutumia mtandio chumbani kwake umezikwa leo. Tukio hilo limetokea Februari 30, 2025 na kugundulika na mama yake mzazi majira ya…

Serikali kupitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua mfumo mpya wa Sera ya elimu huku akiweka msisitizo wa Serikali kupitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini. Amesema dhamira ya mabadiliko ya…

Uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura Pwani, Tanga kufanyika Februari 13-19

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanza maandalizi ya mzunguko wa 11 kati ya mizunguko 13 ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Pwani na Tanga ambayo zoezi la uboreshaji…